Mbunge Bwege Achangia Na kuvunja Mbavu Wabunge Katika Bajeti Ya Wizara Ya Maji



Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Bungara maarufu kwa jina la ‘Bwege‘  alisababisha wabunge kuangua vicheko wakati akichangia bajeti ya Wizara ya maji na umwagiliaji kwa style aliyokuwa akitumia na unaweza kumtazama hapa chini kwenye hii video….
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment