VIDEO KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO MAY,11,2017



Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo May 11, 2017 mjini Dodoma kwa kipindi cha Maswali na Majibu ambapo limeanza kwa Maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu. Ni Kikao cha Ishirini na Mbili katika Mkutano wa Saba.
Nimekuwekea full video hapa, unaweza kubonyeza PLAY kutazama…


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment