TFF Wafunguka Manara Kutopata Nakala Ya Hukumu Yake


Mkuu wa Idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara ameonesha dhamira yake ya wazi ya kutaka kukata rufaa ya kupinga kufungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka na faini ya Tsh milioni 9 na TFF lakini barua haijamfikia bado Haji Manara  tumempata Alfred Lucas azungumzie kwa nini barua yaHaji imechelewa.
“Hukumu ikishatoka inaandaliwa wenyeviti husika wameandaa hukumu vizuri na zitawafikia kwa wakati maandalizi yashafika mwisho bado tu kukabidhiwa hukumu zao, nimtoe shaka ndugu ya Manara kama ana mpango wa kukata rufaa inawakati wake siku zitahesabiwa pale tu watakapokuwa amesaini kupokea barua ya TFF” >>> 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment