Picha Miss Tanzania 2016 Akubidhiwa Gari Yake Leo

Kamati ya shindano la Urembo la Miss Tanzania leo May 11 2017 Dar es salaam imemkabidhi Diana Edward Miss Tanzania 2016 zawadi yake ya gari (Suzuki Swift) ikiwa ni zaidi ya miezi 6 toka fainali ya shindano lenyewe ifanyike.
ULIPITWA? Fainali nzima ya Miss Tanzania 2016 ipo kwenye hii video hapa chini….

EXCLUSIVE INTERVIEW: Miss Tanzania 2016 Diana Edward awajibu wanaosema ana sura mbaya….
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment