Neymar amerejea mazoezini baada ya kususa

Baada ya kuzichapa na beki mpya wa Barcelona, Nelson Semedo , mshambuliaji Mbrazil, Neymar amerejea mazoezini.
Barcelona bado iko Miami nchini Marekani na Neymar alitoka mazoezini kwa hasira baada ya ugomvi huo jana.
Baadaye ikaelezwa hatarejea Hispania na Barcelona na yuko katika mpango wake wa kutaka kuondoka kujiunga na PSG ambayo inamtaka kwa udi na uvumba.
Hata hivyo, leo amerejea mazoezini lakini akionekana ni mtu asiye na furaha
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment