Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA) Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema mambo mbalimbali ambayo yanaendelea nchini hivi sasa ni kama kumtusi baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere ambaye alipigana kupata uhuru mwaka 1961
Mchungaji Msigwa amesema hayo kupitia mitandao yake ya kijamii na kusema kuwa vitendo vya serikali kufungia vyombo vya habari, serikali kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na kuzuia uhuru wa kutoa mawazo ni matusi kwa waasisi wa Taifa na mwalimu Nyerere ambao walipigana kupata uhuru wa nchi ili kuondokana na mambo kama
0 comments :
Post a Comment