Ligi kuu ya Vodacom Tanzani Baar imeendelea tena leo Jumamosi Novemba 25, 2017 mzunguko wa 11.
Mechi tano zimechezwa leo ambapo matokeo ya mechi zote ni yafuatayo
1.Yanga 1-1 Prisons
2.Singida Ubited 2-1 Mbeya City
3.MBao Fc 1-0 Mwadui Fc
4.Kagera Sugar 0-0 Stand United
5.Ruvu Shooting 2-1 Majimaji Fc
Ligi hiyi itaendelea tena hapo kesho Jumapili mechi kati yaSimba dhidi ya Lipuli Fc na kesho kutwaJumatatu kutakuwa na mechi kati ya Azam Fc dhidi ya Mtibwa Sugar ya kukamilisha mzunguko wa 11.
0 comments :
Post a Comment