Mkurugenzi Wa Shirika La Nyumba Akanusha Kushikiliwa Na Takukuru





Mapema leo zilisambaa  taarifa kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC), Nehemia Mchechu amekamatwa na TAKUKURU na kuhojiwa.


Sasa, kupitia mtandao wa Twitter, Mchechu amekanusha vikali taarifa hizo na kueleza kuwa yeye yupo kwenye msiba wa mama yake hivyo zipuuzwe..

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment