Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Italy tarehe
15/07/2015
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif
Hamad,akisalimiana na viongozi wa serikali wakati alipowasili uwanja wa
ndege wa Zanzibar akitokea Italy

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu ziara yake Italy kwa
ajili ya maonyesho ya biashara yaliyofanyika nchini humo
Picha na Salmin Said , OMKR
0 comments :
Post a Comment