Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na mwakilishi mkazi wa Benki
ya Dunia hapa nchini Bwana Philipe Dongier anayemaliza muda wake.Bwana
Dongier alikwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam julai
24, 2015.
Picha na Freddy Maro
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bwana
Philipe Dongier anayemaliza muda wake.Bwana Dongier alikwenda kumuaga
Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam julai 24, 2015
0 comments :
Post a Comment