
Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Takwimu ,Ephraim Kwesigabo akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo.

Mkurugenzi
wa Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila
akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wasimamizi,wahariri na
wadadisi wa utafiti wa afya ya mama na mtoto na Maralia yanayofanyika
kwa siku 36 katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi.

Baadhi ya washiriki.

Mkurugenzi
wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila
akizindua matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya utoaji wa huduma za
afya nchini Tanzania 2015.

Mkurugenzi
wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila
akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Afya ,Zanzibar Halima Maulid
Saleh matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya utoaji wa huduma za afya
nchini Tanzania 2015.

Mkurugenzi
wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila
akimkabidhi Mganga mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Andrewleon Qweker
matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya utoaji wa huduma za afya nchini
Tanzania 2015.

Mkurugenzi
wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila
akimkabidhi Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Hafidh Rajab
matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya utoaji wa huduma za afya
nchini Tanzania 2015.

Mkurugenzi
wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila
akimkabidhi Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa ofisi ya taifa ya takwimu
Ephraim Kwesigabo matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya utoaji wa
huduma za afya nchini Tanzania 2015.

Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Hafidh Rajab akitoa neno la shukrani wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo ambao ni wauguzi kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
![]() |
| Baadhi ya wauguzi wanaoshiriki mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. |







0 comments :
Post a Comment