LOWASA AZUNGUKA NA DALADALA HADI GONGO LA MBOTO KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anaeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), Edward Lowassa akilipa nauli ya daladala alilopanda Kituo cha Gongolamboto mwisho kuelekea Chanika,jijini Dar es Salaam jana alipokuwa kwenye  ziara ya kujionea hali halisi ya shida ya usafiri wa umma (daladala) jijini humo.

Lowassa akishuka kituo cha chanika na kupokelewa na Mgombea mwenza, Juma haji Duni.
 akipanda daladala

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akizungumza jambo na Bi. Kulwa Juma, anaejishughulisha na biashara ya kuuza Mihogo ya kukaanga katika Kituo cha Daladala cha Gongo la Mboto mwisho, jijini Dar es salaam leo, Agosti 24, 2015.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa Katiba ya wananchi, UKAWA, Edward Lowassa leo ametembelea maeneo ya gongo la Mboto na kuzungumza na wananchi kadhaa akitumia usafiri wa daladala.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment