Meneja wa
bia ya Tusker SBL, Nandi Mwiyombella akikabidhi zawadi ya mfuko wenye
fulana na kalamu kwa mkazi wa Sinza Bi. Zalia Ally katika hafla ya
kuipongeza baa ya Mawela iliyopo Sinza jijini Dar es salaam ambayo
iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani
inayoendeshwa
na bia ya Tusker. Kampeni hiyo yenye nia ya kuhamasiha baa
za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye upande wa huduma
inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa mikoa mingine nchini
kama;- Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro.
Mkazi wa
Sinza aliyetambulika kwa jina la Adam Issa Suleiman( 39) (Katikati)
ambaye alianza kunywa bia ya Tusker tokea mwaka 1997 akipokea zawadi ya
mfuko wenye fulana na kalamu pale ambapo promosheni ya Fanyakweli
kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker toka SBL ilipofunga kambi
katika kiwanja cha Mawela baa kuipongeza baa hiyo baada ya kuibuka
mshindi wa wiki wa promosheni hiyo. (Kushoto) Bw. Gadner Habash pamoja
na balozi wa bia hiyo aliyekabidhi zawadi Bi. Veronica Mbilinyi. meneja
wa bia hiyo alitoa zawadi mbalimbali kwa wateja waliofika kiwanjani hapo
katika hafla ya kuipongeza baa hiyo.
Dj Con wa
redio Efm, akiporomosha burudani ya muziki ndani ya baa ya Mawela
iliyopo Sinza jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kuipongeza baa
hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki wa kampeni inayoendelea ya Tusker
Fanyakweli Kiwanjani.(VICTOR)
Mkazi wa
Tabata Liwiti Alex Mbuya (katikati) akipokea zawadi yake ya mfuko,
Tisheti na bia za bure alizopewa wakati wa wa hafla ya kuipongeza baa ya
Havannah ya Segerea Mwisho jijini Dar es salaam ambapo promosheni ya
Fanyakweli Kiwanjani inayodhaminiwa na bia ya Tusker toka SBL ilifunga
kambi wiki iliyopita. (kushoto) ni mshereheshaji wa promosheni hiyo Seth
Katende almaarufu kwa jina la “Bikira wa kisukuma” pamoja na balozi wa
bia hiyo Veronica Mbilinyi.
Meneja
bia ya Tusker SBL, Nandi Mwiyombella (Kushoto) akikabidhi zawadi ya
mfuko wenye fulana na kalamu kwa mkazi wa Segerea mwisho Bw. Rodride
Nyange katika hafla ya kuipongeza baa ya Havannah iliyopo Segerea mwisho
jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya
Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hiyo yenye
nia ya kuhamasiha baa za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye
upande wa huduma inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa mikoa
mingine nchini kama;- Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro.
Baadhi ya
wapenzi wa bia ya Tusker wakifurahia burudani ya muziki katika hafla ya
kuipongeza baa ya Havannah iliyopo Segerea mwisho jijini Dar es salaam
ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Tusker Fanyakweli
Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hiyo yenye nia ya
kuhamasiha baa za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye upande wa
huduma inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa mikoa mingine
nchini kama;- Arusha, Mbeya, Moshi, Mwanza na Morogoro.
0 comments :
Post a Comment