Wandishi wa habari kutoka Tanzania katika picha na mwak ili shi wa kampuni ya teknolojia ya mawasiliano ya Nortal muda mfupi baada ya kumtembelea kampani hiyo jijini Tallinn Estonia.
Wandishi
wa habari sita kutoka vyombo vya habari kutoka Tanzania wako ziarani
chini Estonia kwa mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo.
Lengo la
ziara hiyo ni kutoa fursa kwa wandishi wa habari wa Tanzania kujifunza
na kujionea shughuli mbali mbali katika sekta za teknolojia ya
mawasiliano , elimu, utalii, afya n.k. ili kuandikia habari hizo nchini
Tanzania.(P.T)
Katika
siku mbili za mwanzo za ziara hiyo ya siku tano, wandishi hao kutoka
Tanzania tayari wametembelea sehemu kadhaa ikiwa ni pamoja na kampuni
kubwa inayoongoza katika teknolojia ya mawasiliano chini Estonia iitwayo
Nortal, kituo cha tiba maalumu ya matope na chumvi kilichopo katika mji
wa Haapsalu na kuzungumza na Meya wa mji huo Staili Meya Maret Sukles.
Katika ziara hiyo inayoratibiwa a na chuo kikuu cha Tullinn shule kuu ya Media and filming ya Balticts, wandishi hao wamefuata na afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Sweden Bw. Jacob Msekwa.
Katika ziara hiyo inayoratibiwa a na chuo kikuu cha Tullinn shule kuu ya Media and filming ya Balticts, wandishi hao wamefuata na afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Sweden Bw. Jacob Msekwa.
Meya wa mji wa Haapsalu katika picha ya pamoja na baadhi ya wandishi wa habari wa Tanzania baada ya nazungumza na wandishi hao.
0 comments :
Post a Comment