@nkupamah blog On 30,November,2015
Mbunge
wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akizungumza na wananchi wa jimbo la
mlalo wakati wa sherehe ya kumpongeza, katika hafla fupi ilifanyika
maeneo ya Mlalo Mkongoloni mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza atembelea wilaya ya Lushoto na
kuangalia miradi ya maendeleo ya Serikali ikiwepo maabara na mradi wa
maji wilayani Lushoto Mkoani Tanga baada ya kabla ya hafla fupi ya
Mbunge wa jimbo la Mlalo iliyofanyika maeneo ya Mlalo mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza akisalimiana na wananchi wa jimbo laMlalo.
Mkuu
wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza akisaini kitabu cha wageni mara baada
ya kuwasili katika jombo la Mlalo kushoto ni mkuu wa Wilaya ya Lushoto
Mariam Juma, Mbunge wa jimbo la Mlalo ndugu Rashid Shangazi na diwani wa
jimbo la Kwemshasha Anuari Kiwe.
Baadhi
ya wananchi na madiwani wa jimbo la Mlalo waliokusanyika kwaajili ya
kukubali wito wa Mbunge wa Mlalo,Rashid Shangazi mara baada ya Mkuu wa
mkoa wa Tanga kukagua mradi wa maji katika jimbo la Mlalo, na Mbunge wa
jimbo hilo kufanyiwa sherehe ya kumpongeza hafla hiyo iliyofanyika
katika jimbo hilo wilayani Lushoto Mkoani Tanga.
0 comments :
Post a Comment