Wachezaji wa timu ya Taifa Stars
na Algeria wakichuana vikali kuwania mpira katikati yao wakati wa mchezo
wa kufuzu fainali za kombe la dunia uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa
jijini Dar es
salaam huku timu hizo zikitoshana nguvu kwa kufungana
magoli 2-2 na kuifanya Taifa Stars kuwa na kibarua kigumu wakati wa
mchezo wa maruduano utakaofanyika Novemba 17 mjini Algers Algeria ili
kusonga mbele katika michuano hiyo.Taifa Stars inahitaji kushinda
katika mchezo wake huo ili iweze kusonga mbele.
Baadhi ya washangilianji wakishangilia kwa nguvu wakati wa mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Hii ni staili moja wapo iliyotumiwa na washngiliaji wa timu ya Taifa Stars katika mchezo huo.
Mdau Muddy, Bariki na marafiki zao walikuwa ni mmoja wa mashuhuda wa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Algeria kikiwa katika picha ya pamoja
0 comments :
Post a Comment