On Monday, November 30, 2015
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongoza matembezi hayo yaliyoandaliwa kwa ajili ya kununua madawati.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya TBL Group
wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Rais mstaafu wa Tanzania Mh.Ali
Hassan Mwinyi , baada ya kumalizika kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na
taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia
madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani
Temeke,Matembezi hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na
kushirikisha taasisi na makampuni mbambali ya hapa nchini.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL group ambayo kwa hapa nchini inamiliki kampuni
ya bia Tanzania (TBL) , Kampuni ya Konyagi na kampuni ya Chibuku wakiwa
katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa matembezi ya hisani
yalioandaliwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa ajili ya kuchangisha
fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji
Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke.Matembezi hayo yalifanyika jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kushirikisha taasisi na makampuni
mbalimbali ya hapa nchini
Baadhi
ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL group ambayo kwa hapa nchini inamiliki kampuni ya bia Tanzania (TBL) , Kampuni ya
Konyagi na kampuni ya Chibuku wakiwa katika picha ya pamoja muda kabla ya
kuanza kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust
kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za
msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke.Matembezi hayo yalifanyika
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kushirikisha taasisi na makampuni
mbalimbali ya hapa nchini.
0 comments :
Post a Comment