Wednesday, December 2, 2015
@nkupamah blog
Katibu
Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue akiwaonyesha waandishi wa Habari
(hawapo pichani) beji yenye jina lake ambayo amewaagiza watumishi wa
Umma kuivaa wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi.
Balozi
Sefue alifanya mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es
Salaam jana na kutoa taarifa ya Serikali kuhusu kesi ya Serious Fraud
Office (SFO) dhidi ya Standard Bank.
0 comments :
Post a Comment