Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura akipata maelezo juu ya
mradi wa jengo la kituo cha sanaa na utamaduni litakalojengwa Bagamoyo
mkoani Pwani,kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas
Mwansoko (Picha na
Benjamin Sawe-WHUSM).
: Mkurugenzi wa Idara ya Habari
na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene akimuelezea Naibu Waziri
Mh. Anastazia Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara yake wakati wa ziara
ya Naibu Waziri aliyoifanya Wizarani hapo kujionea utendaji kazi wa
Idara ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.(Picha na Benjamin
Sawe-WHSUM)
Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya
lugha Bi Shani Kitogo kulia akimuelezea Naibu Waziri Mh. Anastazia
Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara hiyo wakati Naibu Waziri wa Wizara
ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo alipofanya ziara kukagua utendaji
kazi wa Idara za Wizara hiyo.
0 comments :
Post a Comment