MADIWANI WA MANISPAA YA IRINGA WAAPISHWA LEO -ALEX KIMBE AWA MEYA MPYA IRINGA MJINI.

@nkupamah blog 

On December, 2,2015

 
 Picha ya Pamoja  Madiwani wote wa Halmashauri ya manispaa ya Iringa Katika ubora wao mara baada ya kuapishwa leo katika ukumbi wa manispaa ya Iringa.Picha na @nkupamah blog



 Mheshimiwa kimata diwani wa kata ya kitwiru (Kushoto) na Mheshimiwa Tandesy diwani wa kata ya Ruaha (kulia ) wakiwa katika  picha ya pamoja mara baada kuapishwa  katika ukumbi wa Halmashauri ya
 . 
                                            Na mwandishi  @nkupamah blog
Hatimaye uchaguzi wa mayor halmashauri ya iringa mjini umekamilika kwa amani kabisa
Idadi ya Kura kwa kila mgombea.
Meya
Kura halali:27
Kura zilizo haribika:0
CCM: Bashri Richard Mtove kura 6
CHADEMA: Kimbe Alex Bonifasi kura 21
Hivyo bwana kimbe katangazwa kuwa meya

Naibu Meya
Kura halali:27
Kura zilizo haribika:0
CCM: Dora Menard Nziku kura: 6
CHADEMA: Joseph Lyata Nzara kura: 21
Hivyo bwana Joseph katangazwa kuwa Naibu Meya

Akizungumza  na @nkupamah blog mara baada ya kuapishwa leo, mh Baraka kimata diwani wa kata  ya Kitwilu amesema, anawashukuru sana wananchi wa kata yake na Mungu kwakumuamini na kumpa heshima yakua diwani  wao.

,hana cha kuwalipa  bali anawaahidi utumishi uliotukuka katika kipindi chote cha uongozi wake  na kuwaletea maendeleo endelevu wananchi wa kata yake na manispaa nzima kwa ujumla kwani anazijua changamoto zote zinazowakabili wananchi wa Iringa mjini hivyo atashirikiana na madiwani wenzie wote kuziondoa changamoto hizo.

@nkupamah blog
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment