ENGLAND
Saa chache baada ya klabu ya Chelsea kumfuta kazi aliyekuwa kocha wake Mreno Jose Mourinho kwa kile kilichodaiwa na bodi ya klabu hiyo ni kutokuwa na imani na kocha huyo ambaye ni miezi saba tu iliyopita aliwapa taji la ubingwa wa ligi kuu na kombe la FA.
Kwa masikitiko makubwa kupitia ukurasa wake wa instagram, nahodha wa wa klabu ya Chelsea John Terry ameandika ujumbe mzito katika lugha ya kiingereza ikiwa ni ishara ya kukubali kila alichokifanya wakati akiwa chelsea
“Thank You doesn’t seem enough
Sad sad day
Gonna miss you Boss
The Very Best I have EVER worked with, unbelievable memories together”
Sad sad day
Gonna miss you Boss
The Very Best I have EVER worked with, unbelievable memories together”


0 comments :
Post a Comment