MSANII: MWANA FA, KILA MTU ACHUKUE 50 ZAKE

@nkupamah blog


Msanii mkongwe kwenye tasnia ya Muziki nchini Hamisi Mwinjuma Hit Maker wa Asanteni kwa kuja ngoma yake mpya ambayo ameiachia hivi karibuni kutoka kwenye mikono salama ya Hermy B na
kupokelewa vyema na mashabiki kinyume na matarajio yake.12298952_951039554970796_1769017982_nAkizungumza na @nkupamah blog Mwana FA amesema wimbo huo wa Asanteni kwa kuja Mwana FA ameelezea kuwa ni wimbo ambao unazungumzia watu ambao amekutana nao kwenye mazingira tofauti kwenye maisha na kugundua mabaya yaomwana-FA
Mwana FA ameendelea kusema kuwa miongoni mwa watu hao wengine amewasaidia lakini hawakuweza kuuthamini msaada wake na kumtendea mabaya hivyo anawaambia anashukuru kuwafahamu na kuwaambia Asanteni kwa kuja huku akimtaka kila moja kuchukua hamsini zake(kufanya mambo yanayo muhusu) na kuacha maisha yaendelee.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment