Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashantu Kijachi afanya ziara PSPF

may1
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Ashantu Kijachi  akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adamu Mayingu wakati alipokuwa akimpa maelezo baada ya Naibu Waziri huyo kufanya ziara katika shirika hilo leo jijini Dar es Salaama habari alipofanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za 
may2
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adamu Mayingu (hayupo pichani) akizungumza na na waandishi wa habari (hawapo pichani) alipotembelewa
na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango  Mhe. Dk. Ashantu Kijachi (hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.
may3

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adamu Mayingu (hayupo pichani) akizungumza na na waandishi wa habari alipotembelewa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango  Mhe. Dk. Ashantu Kijachi (hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment