Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa
ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu
Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na
Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na
Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na
Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akijadiliana na watendaji wa Wizara na
Taasisi kuhusu masuala mbalimbali ya Wizara pamoja na Taasisi zilizo
chini ya Wizara.
0 comments :
Post a Comment