Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza Kliniki ya Dkt. Mwaka

@nkupamah blog

4A1
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwasili kituo cha tiba za asili na mbadala cha Kliniki ya Foreplan Herbal cha Dkt. Juma Mwaka leo jioni alipofanya ziara ya
kushtukiza katika kituo hicho kilichopo eneo la Ilala Bungoni jijini Dar es salaam kujionea namna kituo hicho kinavyotoa huduma za kiafya.
4A2
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dkt. Hamisi Kigwangalla akiongea na Husna Maokola Majogo (aliyekaa) mara baada ya kuwasili kituo cha tiba za asili na mbadala cha Kliniki ya Foreplan Herbal cha Dkt. Juma Mwaka leo jioni alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho kilichopo eneo la Ilala Bungoni jijini Dar es salaam kujionea namna kituo hicho kinavyotoa huduma za kiafya.
4A3
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dkt. Hamisi Kigwangalla akiangalia baadhi ya vifaa vinavyotumika kutibia wagonjwa katika kituo cha tiba za asili na mbadala cha Kliniki ya Foreplan Herbal cha Dkt. Juma Mwaka leo jioni alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho kilichopo eneo la Ilala Bungoni jijini Dar es salaam kujionea namna kituo hicho kinavyotoa huduma za kiafya. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,wizara hiyo Nsachris Mwamwaja.
4A4
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dkt. Hamisi Kigwangalla akiangalia baadhi dawa zinavyotumika kutibia wagonjwa katika kituo cha tiba za asili na mbadala cha Kliniki ya Foreplan Herbal cha Dkt. Juma Mwaka leo jioni alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho kilichopo eneo la Ilala Bungoni jijini Dar es salaam kujionea namna kituo hicho kinavyotoa huduma za kiafya.
4A5
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dkt. Hamisi Kigwangalla akipita kuangalia maeneo ya kutolea huduma katika kituo cha tiba za asili na mbadala cha Kliniki ya Foreplan Herbal cha Dkt. Juma Mwaka leo jioni alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho kilichopo eneo la Ilala Bungoni jijini Dar es salaam kujionea namna kituo hicho kinavyotoa huduma za kiafya
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment