Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa
Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akikabidhi sehemu ya msaada
kwa baadhi ya watoto kutoka Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika
mazingira magumu cha Kiwohede kilichopo Buguruni Malapa cha jijini Dar
es Salaam. Msaada huo umetolewa leo na Kampuni ya TTCL kwa ajili ya Siku
Kuu ya Mwaka Mpya 2016.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa
Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akimkabidhi Mlezi wa Watoto
na Vijana, Stella Mwambenja wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi
katika
mazingira magumu cha Kiwohede kilichopo Buguruni Malapa cha
jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya watoto wa kituo hicho.
 |
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa
Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza na wanahabari
mara baada ya kukabidhi sehemu ya msaada wa chakula kwa ajili ya Siku
Kuu ya Mwaka Mpya 2016 kwa vituo vitatu vya watoto yatima Dar es
Salaam. Kulia ni Mlezi wa Watoto na Vijana wa Kituo cha kulelea watoto
wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede, Stella Mwambenja.
|
 |
Mmoja wa watoto kutoka Kituo cha
kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede cha
Buguruni Malapa Dar es Salaam akitoa shukrani kwa kampuni ya TTCL baada
ya kukabidhiwa msaada huo na Kampuni ya TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya
Mwaka Mpya 2016.
|
 |
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) na Ofisa Uhusiano wa
kampuni hiyo, Amanda Luhanga (kulia) wakipewa historia fupi ya Kituo cha
Makazi ya Wazee Nunge kwa Ofisa Mfawidhi, Ojuku Mgezi (katikati) kabla
ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya.
|
|
 |
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) akimkabidhi sehemu ya
msaada wa vyakula Ofisa Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge,
Ojuku Mgezi (wa pili kushoto) msaada huo umetolewa leo na TTCL kwa ajili
ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016. Wengine ni viongozi na wawakilishi wa
jumuiya ya Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge.
|
 |
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) akimkabidhi sehemu ya
msaada wa vyakula Ofisa Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge,
Ojuku Mgezi (wa pili kushoto) msaada huo umetolewa leo na TTCL kwa ajili
ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016. Wengine ni viongozi na wawakilishi wa
jumuiya ya Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge.
|
 |
Sehemu ya makazi ya Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge |
 |
Sehemu ya msaada ukishushwa
kwenye Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge. Msaada huo umetolewa leo na TTCL
kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016. Msaada huo umetolewa leo na
TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016.
|
 |
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kulia) akizungumza na watoto
wa Kituo cha Kulelea Watoto Wanaoishi katika Mazingira Magumu cha
Honoratha cha Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya Siku Kuu ya
Mwaka Mpya 2016.
|
 |
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kulia) akimkabidhi sehemu ya
msaada Mlezi wa Kituo cha Kulelea Watoto Wanaoishi katika Mazingira
Magumu cha Honoratha cha Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya
Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016. TTCL imetoa msaada wa mifuko ya Unga,
Sukari, Mchele, Maharage na Mafuta ya Kupikia kwa vituo vitatu tofauti
vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
|
 |
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (katikati) kwa niaba ya Ofisa
Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akimkabidhi mmoja wa
wawakilishi wa Kituo cha Kulelea Watoto Wanaoishi katika Mazingira
Magumu cha Temeke cha jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetolewa leo na
TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016.
|
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment