Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu kushoto akiongozana
na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh. Khamis Kigwangala huku Katibu Mkuu
wa
wizara hiyo Donan Mbando akiwafiuata kwa nyuma mara mara baada ya
kuwasili katika ukumbi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya NIMR kwa
ajili ya kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto ulioanza leo jijini Dar es
salaam ukijadili mambo mbalimbali ikiwemo ya utekelezaji wa wizara hiyo
na changamoto ninazoikabili pamoja na kujadili maadili ya utendaji wa
kazi kwa watumishi wa afya na bajeti ya mwaka 2015-2016.(PICHA NA @nkupamah blog
Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akifungua mkutano
wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto katika ukumbi wa mikutano wa Taaisi ya Utafiti ya wa
Magonjwa ya NIMR jijini Dar es salaam, Katikati ni Dk. Khamis Kigwangala
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto na kushoto ni Katibu wa Baraza hilo Bi.Mary Ntira.
Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akifafanua jambo
wakati akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii , Jinsia , Wazee na Watoto , kushoto ni Dk. Khamis
Kigwangala Naibu Waziri wa wizara hiyo na kulia ni Katibu Mkuu DK. Donan
Mbando.
Dk. Khamis Kigwangala Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto akijitambulisha
kwa wajumbe wa baraza hilo huku Waziri Ummy Mwalimu akipitia hotuba yake
kabla ya kuwahutubia wajumbe, kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk.
Donan Mbando.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk.
Donan Mbando akimkaribisha Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,
Wazee na watoto katikati ili kuzungumza na wajumbe wa baraza kuufungua
rasmi mkutano huo, wa pili kutoka kushoto ni Dk. Khamis Kigwangala
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto na mwisho
ni Mary Ntira Katibu wa Baraza.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk.
Donan Mbando kutoka kulia , Ummy Mwalimu Waziri wa Afya Maendeleo ya
Jamii, Jinsia , Wazee na watoto, Dk. Khamis Kigwangala Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamiin Jinsia , Wazee na Watoto na Mary Ntira Katibu
wa Baraza wakishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi kabla ya kuanza kwa
mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wakiimba wimbo huo kabla ya kufunguliwa kwa mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo.
Ummy Mwalimu Waziri wa Afya
Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na watoto, Dk. Khamis Kigwangala
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamiin , Jinsia , Wazee na Watoto
pamoja na wajumbe wa mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya kufunguliwa kwa mkutano huo.
0 comments :
Post a Comment