Matukio Dakika ya 59 Kuumaliza Mwaka 2015

Bella d (74)
Christian Bella akipanda jukwaani kuwasalimia mashabiki.
Bella d (1)
Mashabiki wakijiachia kwa kucheza muziki dakika chache kabla ya kuanza mwaka  mpya 2016
Bella d (2)
Ni full kufurahia.
Bella d (5)
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu za mkononi, Airtel Tanzania na wafanyakazi wa Dar Live wakiandaa maputo kwa ajili ya shamra shamra za kuukaribisha mwaka mpya 2016.(P.T)

Bella d (7)
Bella d (8)
Maputo yakipeperushwa hewani kuashiria kuanza mwaka mpya 2016.


Bella d (73)
Bella akitoa kionjo wakati wa kuukaribisha mwaka mpya.
Bella d (27)
Christian Bella (mwenye kofia nyekundu) na Mama Tunu wakitikisa chupa za shampeni. Wanaoshuhudia tukio hilo ni mashabiki pamoja na Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo (katikati mwenye shati la dratfi).
Bella d (29)
Zoezi la kufungua shampeni likishika kasi.
Bella d (31)
Bella d (32)
Shampeni ya mama Tunu hiyooooo ikafunguka.

Bella d (34)
Bella naye akakazana.
Bella d (37)
Dakika zikatimia…. mwaka 2016 huoooo ukafika.
Bella d (44)
Bella akaanza kuwaonjesha shampeni mashabiki zake.
Bella d (47)
Mashabiki wakichukua picha za ukumbusho wa tukio hilo kwenye simu zao.
Bella d (75)
Bella d (76)
Bella d (77)
Bella d (78)
Bella acha kabisaaaaa
Bella d (84)
Mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.
PICHA NA MUSSA MATEJA/GPL
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment