Watu 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani Dodoma


Watu wanane wakiwamo askari wa jeshi la Polisi,watoto wawili na wapita njia wawili wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji katika eneo la Kibaigwa
Bwawani mkoani Dodoma.

Naibu Kamishna mwandamizi wa jeshi la Polisi David Misime amethibitisha leo  kutokea kwa vifo hivyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment