Mtu wangu wa usiku wa February 5 Christian Bella mkali wa masauti akiwa pamoja na Jimmy Chansa walifanya bonge moja la show katika ukumbi wa Rhapsody uliyopo Viva Tower, show ya Christian Bella na Jimmy Chansa ilipewa jina ya The First Friday
wakiwa na maana kuwa ni show ya ijumaa ya kwanza ndani ya mwezi
February. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 20 ya
kilivyohappen usiku wa February 5
Home
/
BURUDANI
/
Entertainment Pichaz 20 ya Kilivyohappen katika show ya First Friday ya Christian Bella na Jimmy Chansa
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment