JAJI MKUU WA ZANZIBAR ATANGAZA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA ZANZIBAR

Nkupamah Media:

1
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Vuga, Mjini Zanzibar, kuhusiana  na maadhimisho ya  wiki ya Sheria Zanzibar iliyoanza tarehe 5 mwezi huu.

3Rais wa Wanasheria Zanzibar Omar Saidi akitoa ufafanuzi kuhusu jumuiya hiyo inavyotoa huduma za kisheria kwa wananchi kwenye mkutano ulioitishwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar uliozungumzia wiki ya sheria Zanzibar.
2Baadhi ya Waandishi wa Habari walioshiriki mazungumzo ya Jaji Mkuu wa Zanzibar kuhusu wiki ya Sheria Zanzibar  inayoanza tarehe 5 mwezi huu wakisikiliza kwa makini mazungumzo hayo.
4Hakimu anaeshughulikia kesi za watoto katika Mahakama ya Vuga Mjini Zanzibar Sabra Ali Mohd akielezea changamoto zinazoikabili kesi za watoto kwenye mkutano huo.
PICHA NA ABDALLA OMAR-HABARI MAELEZO ZANZIBAR
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment