MATUKIO KATIKA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA LEO.

Nkupamah Media:

1
Waziri wa fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango (Kulia) pamoja na Waziri wa Elimu,Ufundi,Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako wakiwasili katika ukumbi wa Bunge kushiriki kikao cha 9 cha Bunge la 11
linaloendelea Mjini Dodoma.
2
Askari wa Bunge akiweka Siwa katika ukumbi wa Bunge kuashiria kuanza kwa kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
3
Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
4
Naibu wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji wakatiakitoa Taarifa ya Utendaji wa  Soko la Bima Nchini kwa kipindi cha Mwaka unaoishia tarehe 31 Desemba,2014 wakati wa  kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
5
Waziri wa Elimu,Ufundi,Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako akiwasilisha Taarifa ya mwaka ya chuo Kikuu Cha Dodoma kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 katika kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
6
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiteta jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Mhe.Dkt Hussein Ali Mwinyi wakati wa katika kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment