Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Faustin Kamuzora amefanya ziara katika kituo mahiri cha kutunzia kumbukumbu kilichopo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
pix 2
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Faustin Kamuzora(wa pili kushoto) akisikiliza  maelekezo kutoka kwa Meneja Mradi  bw. Xiong Hazbin (Kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa TEHAMA Eng. Peter Philip  katika ziara ya kutembelea kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu
kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.
pix 1
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Faustin Kamuzora(wa pili kushoto) akisikiliza  maelekezo kutoka kwa Meneja Mradi  bw. Xiong Hazbin (Kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa TEHAMA Eng. Peter Philip  katika ziara ya kutembelea kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.
pix 3
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Faustin Kamuzora(kushoto) akimsikiliza maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo Eng. Peter Philip  kuhusu mitambo ya kupozea umeme iliyoko katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.
pix 4
Mitambo ya kupozea umeme iliyopo katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kijitonyama jijini Dar es Salaam.
pix 5
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Faustin Kamuzora(kulia) akiongozana na  Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo Eng. Peter Philip na baadhi ya maaafisa wa Wizara wakati wa ziara ya  kukagua   kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.
pix 6
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Faustin Kamuzora(kushoto) akipewa maelezo ya namna hali ya usalama inavyozibitiwa katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia  kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA  Eng. Peter Philip.
pix 7
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Faustin Kamuzora(kushoto) akionyeshwa mitungi ya kuzimia moto Salaam kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA  Eng. Peter Philip alipofanya ziara yake ya kutembelea  kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.
pix 8
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Faustin Kamuzora(kushoto) akionyeshwa sehemu ya chumba cha  kuhifadhia Jenereta  kilichopo katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu  kijitonyama jijini Dar es Salaam ,kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA  Eng. Peter Philip  .(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)