Nkupamah Media:
Mapema kabisa February 1 2016 inaanza na burudani ya kazi nzuri kutoka kwa mrembo mwenye headlines zake nyingi Bongoflevani, Shilole a.k.aShishi Baby.
Ameachia ngoma ya Nyang’anyang’a na ikaanza kwa kukamata vizuri mawimbi ya redioni, kazi ya video imekamilika na aliahidi toka wiki iliyopita kwamba anytime mzigo utakuwa hewani, video yenyewe hii hapa mtu wangu.


0 comments :
Post a Comment