SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UJUMBE WA WABUNGE KUTOKA MAREKANI NA SWEDEN

Nkupamah Media:

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Marekani (Congress) waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Febuari, 2016.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Marekani (Congress) waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge akiagana na Ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Sweden mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Spika wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Sweden waliokuja kumtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam pamoja na Viongozi wengine Wabunge.
Spika wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Sweden waliokuja kumtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam pamoja na Viongozi wengine Wabunge.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Sweden waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Bw. Kenneth Forslund. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson.
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Bi Katarina Rangnitt aliyeongozana na Wabunge kutoka Bunge la Sweden waliotembelea Ofisi za Bunge Jijini Dar es salaam.
Share on Google Plus

About Mng'atuzi blog

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment