TAZAMA VIDEO HII :LAZIMA iKUSHTUE UKIONA MAGARI YALIVYOZAMA KWENYE MAJI BAADA YA HIKI KIVUKO KULEMEWA

Ajali za vivuko inawezekana sio vitu ambavyo tumevishuhudia sana kuliko ajali za magari lakini ni kiukweli ni ajali nyingine zinazotisha 
na kuumiza kuona mali na watu wanavyoweza kupoteza maisha ndani ya sekunde chache tu, kama wewe ni muoga wa kuona mtu anazama kwenye maji basi usiitazame hii video hapa chini.
Imekua ngumu kufahamu hili tukio limetokea nchi gani lakini lengo ni kutukumbusha kuwa na tahadhari zaidi kwenye maeneo kama haya ikiwa ni pamoja na kuvaa life Jacket kujiepusha na chochote kinachoweza kutokea kwenye mazingira ya kutisha kama hivi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment