Unajua Kwamba Chama kikuu cha Ushindani Zanzibar CUF Kimeimuru Nini Tume Ya Uchaguzi Zanzibar ( ZEC) Juu Ya Aliekua Mgombea Wao Octoba,25,2015.


Chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF, kimeitaka Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC kuondoa na kutotumia karatasi za kupigia kura zenye kuonesha jina la mgombea wake wa urais pamoja na baraza la wawakilishi kwa lengo la kugomea uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20 visiwani humo.
Chanzo: DW Swahili
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment