Uongozi wa Klabu ya Mbey City iliyochini ya Halmshauri ya jiji la Mbeya inapenda kuwataarifu mashabiki wa klabu hiyo kuwa wameanzisha `application`itakayokuwa inahusika na habari za klabu
Kama shabiki wa Mbeye City au mdau wa michezo nchini unaweza kuipata Application hiyo katika store ya Google “Google PlayStore” kwa jina la Mbeya City Council FC na kupakua katika simu yako ya Android.




0 comments :
Post a Comment