UUZAJI WA TIKEKI ZA UWANJANI KWA MFUMO WA ELEKRONIKI KUANZA KUTUMIKA

NKupamah media:


TI2
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Makoye Alex Nkenyenge akizungumza wakati wa kikao baina ya Wizara, TFF na Kampuni ya MaxCom kuhusu matumizi ya mfumo wa Kielektroniki katka ukataji Tiketi kwa ajili ya kuingilia wakati wa mechi mbalimbali jana jijini Dar es Salaam. Mkakati huo ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Waziri Mkuu alilolitoa wakati akiongea na wadau wa michezo hivi karibuni.
TI3
Mwakilishi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Boniphace Wambura (kulia) akichangia hoja wakati wa kikao baina ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, TFF pamoja na Kampuni ya MaxCom ili kujadili kuhusu uanzishwaji wa matumizi ya mfumo wa Kielektroniki katika ukataji Tiketi kwa ajili ya kuingilia wakati wa mechi mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. Mkakati huo ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Waziri Mkuu alilolitoa wakati akiongea na wadau wa michezo hivi karibuni.Kushoto ni Afisa Tehama wa wizara hiyo Nuru Bakari.
TI4
Mwakilishi wa Kampuni ya MaxCom Deogratius Lazaro (katikati) akifafanua jambo wakati wa kikao baina ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, TFF pamoja na Kampuni ya MaxCom ili kujadili kuhusu uanzishwaji wa matumizi ya mfumo wa Kielektroniki katika ukataji Tiketi kwa ajili ya kuingilia uwajnjjani wakati wa mechi mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Muhasibu wa TFF Daniel Msangi na kulia ni Mwakilishi mwenza wa MaxCom Erick Charles.
TI5
Mwakilishi wa Kampuni ya MaxCom Erick Charles (wapili kutoka kulia) akifafanua jambo wakati wa kikao baina ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, TFF pamoja na Kampuni ya MaxCom ili kujadili kuhusu uanzishwaji wa matumizi ya mfumo wa Kielektroniki katika ukataji Tiketi kwa ajili ya kuingilia uwajnjjani wakati wa mechi mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Ugavi na Ununuzi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Cecilia Kasonga, Mwakilishi wa Kampuni ya MaxCom Deogratius Lazaro  na Muhasibu wa TFF Daniel Msangi.
TI6
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kujjadili namna ya kuanza kwa matumizi ya mfumo wa Elekroniki katika ukataji wa tiketi za kuingilia uwanjani kwenye mechi mbalimbali. Kikao hicho kimejumuisha wajumbe kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo,TFF na Kampuni ya MaxCom ambao ndiyo wataalamu wa kuendesha mfumo huu.
TI1
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kujjadili namna ya kuanza kwa matumizi ya mfumo wa Elekroniki katika ukataji wa tiketi za kuingilia uwanjani kwenye mechi mbalimbali. Kikao hicho kimejumuisha wajumbe kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo,TFF na Kampuni ya MaxCom ambao ndiyo wataalamu wa kuendesha mfumo huu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment