Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mh Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule wamefanya mkutano wa pamoja na wakazi wa Kata ya Kidodi,kijiji cha Tungu-Mikumi kwa lengo la kusikiliza na kutoa majibu kuhusu wakulima wa Miwa wenye madai mbalimbali.
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya wakazi wa kata ya Kidodi,kijiji cha Tungu-Mikumi (hawapo pichani),kwenye mkutano wa kusikiliza na kutoa majibu kuhusu wakulima wa Miwa, Kushoto ni Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mh Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule katika Mkutano wa kusikiliza na kutoa majibu kuhusu wakulima wa miwa uliofanyika katika kata ya Kidodi,kijiji cha Tungu-Mikumi .
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh Mwigulu Nchemba akiwa na Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule wakifurahia jambo kwa pamoja katika katika Mkutano wa kusikiliza na kutoa majibu kuhusu wakulima wa miwa uliofanyika katika kata ya Kidodi,kijiji cha Tungu-Mikumi .

0 comments :
Post a Comment