Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi
wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akikabidhi msaada wa vyakula na
vitu mbalimbali kwa Mwalimu Mkuu wa Abdul Mgomi na wanafunzi wa shule
ya Msinga Mbagala Maji Matitu mchanganyiko Wilayani Temeke jijini Dar es
salaam wakati alipoitembelea shule hiyo na kukutana na wanafunzi na
uongozi.
Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi
wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akikabidhi mifuko ya unga wa
sembe kwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mbagala Majimatitu
Mchanganyiko Abdul Mgomi na wanafunzi wa shule hiyo wakati alipokutana
nao shuleni hapo.
Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi
wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akikabidhi Seti ya King’amuzi
na Tv kwa Abdul Mgomi Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Mbagala Majimatitu
jijini Dar es salaam.
Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi
wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akipiga picha ya pamoja na
wanafunzi wa shule ya msingi Mbagala Maji Matitu Mchanganyiko.
Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi
Mbagala Maji Matitu Bw. Abdul Mgomi akimshukuru Nwanko Kanu na kampuni
ya StarTimes kwa kutoa msaada huo kutoa msaada huo ambao utasaidia sana
kwa wanafunzi kupata chakula lakini pia kujisomea vizuri wawapo shuleni.
Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi
wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akizungumza na wanaandishi wa
habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo.
Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi
wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akiimba pamoja na wanafunzi wa
shule ya msingi Mbagala Majimatitu mchanganyiko na mwalimu mkuu wa shule
hiyo Bw. Abdul Mgomi wakati alipowatembelea shuleni hapo.
Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi
wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akipiga picha ya pamoja na
wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo.
Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi
wa makampuni ya StarTimes barani Afrika akipiga picha na walimu na
viongozi wa kata pamoja na kamati ya shule ya Msingi Mbagala Majimatitu
Mchanganyiko.


0 comments :
Post a Comment