Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba kwa Waandishi wa Habari
hawapo pichani kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani
ambayo yatafanyika tarehe 24/04/2016 Zanzibar.Mwengine ni Naibu Waziri
wa Afya Harusi Idi.
Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa ufafanuzi wa maswala mbalimbali
yalioulizwa katika mkutano wake na Waandishi wa Habari akielezea kuhusu
Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani yatakayofanyika Tarehe 24/04/2016
Zanzibar.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Afya
Mahmoud Thabit Kombo akizungumzia kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Malaria
Duniani yatakayofanyika Tarehe 24/04/2016 Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.


0 comments :
Post a Comment