Mbunge
wa Jimbo la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) anatoa tahadhari kwa
umma ya kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia mbaya wanatumia namba yake ya
simu ya mkononi ya mtandao wa Vodacom kufanya utapeli.
Watu hao wamekuwa wakituma ujumbe mfupi (SMS) kwa watu mbalimbali kwa lengo la kutapeli wakiomba kutumiwa fedha.
Wakati
akishughulikia suala hilo katika vyombo vya dola ametoa ombi kwa yeyote
atakayepata ujumbe huo kuupuza na kutoa taarifa kwa yeyote atakaye
fikwa na kadhia hiyo.
Ukipata ujumbe huu mfahamishe na mwenzako.
Imetolewa na :
Japhary Michael
Mbunge wa Moshi mjini
0 comments :
Post a Comment