Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (kulia),
akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leornard Chamuriho, kabla ya ufunguzi wa
mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika
Katika Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
Baadhi
ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, wakitambulishwa katika mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa
sekta hiyo.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, akitoa
hotuba yake katika mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya
Uchukuzi, linalofanyika Katika Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA).
Wajumbe
wa Mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi,
wakimsikiliza, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng.
Edwin Ngonyani(hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa baraza
la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi.
Mkurugenzi
wa Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa
Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire, akiwasilisha mada kwenye mkutano
wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi.
Meneja
wa Kituo cha TCAA, Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Bw.
John Chambo akimwonyesha Naibu Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani( kushoto), ramani inayoonyesha njia za
ndege, wakati alipotembelea ofisni hapo.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (wa tatu
kutoka kulia mstari wa kwanza), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe
wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika
Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).


0 comments :
Post a Comment