Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akihutubia mkutano wa
hadhara, katika kata ya Bashnet, Wilayani Babati mkoa wa Manyara,
Apripil 10, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara.
Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka (kushoto), akilakiwa na
Kinamama wa Kata ya Bashnet, alipowasili katika kata hiyo kuhutubia
mkutano wa hadhara katika kata hiyo, Wilayani Babati mkoa wa Manyara,
Apripil 10, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara.
Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akipitia Ilani ya CCM
ya 2015-2020, kabla ya kuhutbia mkutano wa hadhara katika kata ya
Bashnet, wilaya la Babati mkoani Manyara, akiwa katika ziara ya kikazi
mkoani humo, Aprili 10, 2016. Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa
ManyaraNdengaso Ndakubali.
Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akisalimiana na
Karoli Oli, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa TANU katika kata ya Bashnet
mwaka 1962, alipotambulishwa kwake katika mkutano wa hadhara uliofanyika
katika kata hiyo, wilayani Babati mkoa wa Manyara, Aprili 10, 2016.
Mjumbe
wa NEC, ambaye pia ni mtumishi wa Makao Makuu ya CCM katika Idara ya
Itikadi na Uenezi, Kilumbe Ng'enda, akihutubia mkutano wa hadhara
uliofanyika kata ya Bashnet, wilayani Babati mkoa wa Manyara.
Msemaji
wa CCM Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akiwasalimia wananchi
baada ya kuwasili katika Kata ya Bashnet kuhutubia mkutano wa hadhara
akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Babati mkoa wa Manyara, Aprili 10,
2016.
Kinamama
wakimshangilia Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka,
alipohutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Bashnet, wilayani Babati
mkoa wa Manyara, Aprili 10, 2016.
Kijana
mkereketwa akiwa na picha ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere
wakati wa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Msemaji wa CCM, mjumbe wa
NEC, Christopher Ole Sendeka katika kata ya Bashnet, wilayani Babati
mkoa wa Manyara, Aprili 10, 2016.
Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu
wa CCM mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndakubali, alipowasili kwenye Ofisi ya
CCM mkoani humo, Afprili 10, 2016 akiwa katika ziara ya kikazi. (Picha
na Bashir Nkoromo).
0 comments :
Post a Comment