Kumbe
Rais wa Kenya anajua kucheza mpira wa raga?.. Ndiyo swali unaloweza
kujiuliza pindi utakapoona kipande hichi cha video ambapo Rais Uhuru
Kenyatta akijaribu kuufikia mpira wa raga alipoikaribisha timu ya taifa
ya Shujaa 7s katika Ikulu ya Nairobi
Kenya
yashinda taji la dunia la raga la Sevens series. Kenya imeandikisha
historia katika mchezo wa raga kwa wachezaji saba kila upande baada ya
kunyakua taji la dunia la Singapore ruby Sevens series.


0 comments :
Post a Comment