Mashindano
ya Magari “Alliance Auto MMSC Rally” kufikia tamati leo Mei 22 nje
kidogo ya mji wa Bagamoyo baada ya jana Mei 21 kuanza kwa mzunguko wa
kwanza kwa magari zaidi ya 15 kushindana katika kinyang’anyiro hicho.
Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog-Bagamoyo
Tazama MO tv hapa kuona:
Magari
hayo yanayoshiriki mashindano ya Magari “Alliance Auto MMSC Rally”
yakiwa katika hoteli ya Southan Sun, Jijini Dar es Salaam muda mfupi
kabla ha kuanza safari ya kuelekea Bagamoyo kwenye mashindano
hayo ambayo yanafikia tamati leo Mei 22 nje kidogo ya mji huo Bagamoyo
Magari
hayo yanayoshiriki mashindano ya Magari “Alliance Auto MMSC Rally”
yakiwa katika hoteli ya Southan Sun, Jijini Dar es Salaam muda
yakianza safari ya kuelekea Bagamoyo kwenye mashindano hayo ambayo
yanafikia tamati leo Mei 22 nje kidogo ya mji huo Bagamoyo Magari
hayo yanayoshiriki mashindano ya Magari “Alliance Auto MMSC Rally”
yakiwa katika hoteli ya Southan Sun, Jijini Dar es Salaam muda
yakianza safari ya kuelekea Bagamoyo kwenye mashindano hayo ambayo
yanafikia tamati leo Mei 22 nje kidogo ya mji huo Bagamoyo
Magari hayo yakiwa Bagamoyo tayari kwa mashindano..
Baadhi ya madereva wakikagua njia itakayotumika mashindano hayo…
Gari
la ufunguzi kweye mashindano hayo la kampuni ya Alliance Auto ambao ni
miongoni mwa wadhamini wa shindano hilo lla magari likianza kwa mbwembwe
Gari
la ufunguzi kweye mashindano hayo la kampuni ya Alliance Auto ambao ni
miongoni mwa wadhamini wa shindano hilo lla magari likianza kwa mbwembwe
Dereva
wa gari la ufunguzi kweye mashindano hayo la kampuni ya Alliance Auto
ambao ni miongoni mwa wadhamini wa shindano hilo akifurahia jambo na
meneja masoko wa mauzo wa magari hayo
Gari la kwanza likipita kwa mbwembwe
Baadhi ya mashabiki wa wakifuatilia masahindano hayo ya magari
Magari yakiwa kwenye matengenezo baada ya kushindana..
Wananchi
na baadhi ya magari yakiondoka katika eneo la tukio wakati wa ngwe ya
kwanza hiyo jana. Leo Mei 22.2016 Magari hayo yanatarajia kumaliza
shindano hilo na kumpagta mshindi
Blogger Comment
Facebook Comment