Mabingwa
wa VPL 2015/2016 na wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya
kimataifa, Yanga wamepangwa na mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa
Afrika, TP Mazembe katika Kombe la Shirikisho katika Kundi A la
mashindano hayo.
Kundi A ambalo ipo Yanga vilabu vilivyopo ni Yanga (Tanzania), TP Mazembe (DRC), MO Bejaia (Algeria), na Medeama (Ghana).
Ratiba ya Kundi hilo ni;
JUNI 17, 2016
MO Bejaia – Yanga
TP Mazembe – Medeama
JUNI 28, 2016
Yanga – TP Mazembe
Medeama – MO Bejaia
JULAI 15, 2016
Yanga – Medeama
Bejaia – TP Mazembe
JULAI 26, 2016
TP Mazembe – MO Bejaia
Medeama – Yanga
AGOSTI 12, 2016
Medeama – TP Mazembe
Yanga – MO Bejaia
AGOSTI 23, 2016
TP Mazembe – Yanga
MO Bejaia – Medeama
Kundi B lenyewe lina vilabu vya Kawkab Marrakech, Etoile de Sahel, FUS Rabat na Al-Ahli.


Blogger Comment
Facebook Comment