Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai wakati
alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai
29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India
kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista
Mhagama.

Mhagama. (Picha na Ofisi ya Bunge).

Blogger Comment
Facebook Comment