Siku
moja baada ya kuibuka washindi wa kombe la CECAFA Woman Challenge, timu
ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens imewasili nchini kwa
kupitia mkoani Kagera ambapo Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Generali
Mstaafu Salim Kijuu amewapokea.
MO Blog imekuandalia picha jinsi Kili Queens ilivyowasili Kagera.
Mkuu
wa Mkoa wa Kagera, Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akipokea
Bendera ya Taifa kutoka kwa katibu wa Chama cha Mpira mkoani Kagera Bw.
Salum Chama mara baada ya Mabingwa wa CECAFA kwa wanawake Kilimanjaro
Queens kuwasili kutoka Nchini Uganda katikati ni Mwenyekiti wa Soka la
wanawake Amina Karuma. (Picha na Hassan Silayo Maelezo)


0 comments :
Post a Comment